Ratiba ya Taifa Stars Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Ratiba ya Taifa Stars Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia 2026 | Safari ya Taifa Stars kuelekea Kombe la Dunia 2026: Mechi muhimu zijazo.

Ratiba ya Taifa Stars Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inaendelea na kampeni yake ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026, ikishika nafasi ya tatu katika kundi E. Baada ya kucheza mechi tatu za awali, Taifa Stars ilishinda michezo miwili, kupoteza mmoja na kujikusanyia pointi 6 na hivyo kuacha matumaini ya kufuzu.

Msimamo wa Kundi E

Kwa sasa, nafasi ya Taifa Stars kwenye kundi hili bado ni nzuri, lakini inahitaji matokeo mazuri katika mechi zijazo ili kujikatia tiketi ya kucheza fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza katika historia.

Ratiba ya Michezo Inayofuata ya Taifa Stars

  1. 26 Machi 2025 – 🇲🇦 Morocco vs Tanzania
  2. 1 Septemba 2025 – 🇨🇬 Congo vs Tanzania
  3. 8 Septemba 2025 – 🇹🇿 Tanzania vs Niger
  4. 6 Oktoba 2025 – 🇹🇿 Tanzania vs Zambia
Ratiba ya Taifa Stars Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia 2026
Ratiba ya Taifa Stars Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Ikiwa Stars inaweza kushinda mechi zake za nyumbani na kupata angalau sare au kushinda katika mechi zao za ugenini, basi nafasi yao ya kufuzu itaongezeka maradufu.

Mashabiki wa Taifa Stars watakuwa na matumaini ya kuiona timu yao ikipambana vilivyo kuhakikisha Tanzania inashiriki kwa mara ya kwanza Kombe la Dunia 2026.

CHECK ALSO: