Ratiba ya Tanzania Taifa Stars Kundi B CHAN 2024

Ratiba ya Tanzania Taifa Stars Kundi B CHAN 2024 | SHIRIKISHO la Soka barani Afrika (CAF) limechapisha ratiba rasmi ya hatua ya makundi ya michuano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024, ambayo mwaka huu itafanyika katika nchi tatu: Kenya, Tanzania, na Uganda (KE-TZ-UG 2024).

Kwa mujibu wa ratiba rasmi, kundi B litacheza mechi zake zote kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, Tanzania. Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ipo katika kundi na timu za Burkina Faso, Madagascar, Mauritania, na Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR).

Ratiba ya Tanzania Taifa Stars Kundi B CHAN 2024

Ratiba inaonyesha kuwa mechi za hatua ya makundi zitaanza rasmi Jumamosi, Agosti 2, 2025 na kuhitimishwa Jumamosi, Agosti 16, 2025/Ratiba ya Tanzania Taifa Stars Kundi B CHAN 2024.

  • Tanzania 🇹🇿 vs Burkina Faso 🇧🇫
    Jumamosi, Agosti 2, 2025 – Saa 2:00 usiku (20:00)

  • Madagascar 🇲🇬 vs Mauritania 🇲🇷
    Jumapili, Agosti 3, 2025 – Saa 2:00 usiku (20:00)

  • Mauritania 🇲🇷 vs Tanzania 🇹🇿
    Jumatano, Agosti 6, 2025 – Saa 2:00 usiku (20:00)

  • Burkina Faso 🇧🇫 vs Central African Republic 🇨🇫
    Jumatano, Agosti 6, 2025 – Saa 11:00 jioni (17:00)

  • Central African Republic 🇨🇫 vs Mauritania 🇲🇷
    Jumamosi, Agosti 9, 2025 – Saa 11:00 jioni (17:00)

Ratiba ya Tanzania Taifa Stars Kundi B CHAN 2024
Ratiba ya Tanzania Taifa Stars Kundi B CHAN 2024
  • Tanzania 🇹🇿 vs Madagascar 🇲🇬
    Jumamosi, Agosti 9, 2025 – Saa 2:00 usiku (20:00)

  • Madagascar 🇲🇬 vs Central African Republic 🇨🇫
    Jumatano, Agosti 13, 2025 – Saa 2:00 usiku (20:00)

  • Mauritania 🇲🇷 vs Burkina Faso 🇧🇫
    Jumatano, Agosti 13, 2025 – Saa 11:00 jioni (17:00)

  • Central African Republic 🇨🇫 vs Tanzania 🇹🇿
    Jumamosi, Agosti 16, 2025 – Saa 2:00 usiku (20:00)

  • Burkina Faso 🇧🇫 vs Madagascar 🇲🇬
    Jumamosi, Agosti 16, 2025 – Saa 2:00 usiku (20:00)

CHECK ALSO:

  1. Usajili Yanga Leo, Wachezaji Wanaotakiwa na Wananchi
  2. Usajili Simba Leo, Wachezaji Wanaotakiwa Msimbazi
  3. Tangazo la Nafasi za Kujiunga na Jeshi la Wananchi la Tanzania JWTZ 2025
  4. JINSI YA KULIPIA ADA YA UANACHAMA YANGA SC