Rekodi za Simba na Yanga Ligi Kuu Tanzania Bara

Rekodi za Simba na Yanga Ligi Kuu Tanzania Bara | Historia ya Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga na Simba Zatawala.

Rekodi za Simba na Yanga Ligi Kuu Tanzania Bara

Ligi Kuu ya Tanzania Bara ilianzishwa rasmi mwaka 1965 ikiwa ni miaka minne baada ya uhuru wa Tanganyika na tangu wakati huo Simba SC na Yanga SC zimetawala kwa kiasi kikubwa michuano hii.

Rekodi ya mechi zilizopita

Tangu msimu wa 2017/18, Simba na Yanga zimekutana mara 14 kwenye Ligi Kuu, Yanga ikishinda mara 5, Simba mara 3 na mechi 6 zikimalizika kwa sare. Hizi hapa rekodi za mechi hizo:

04/29/2018: Simba 1-0 Yanga
09/30/2018: Simba 0-0 Yanga
02/16/2019: Yanga 0-1 Simba
04/01/2020: Simba 2-2 Yanga
08/03/2020: Yanga 1-0 Simba
07/11/2020: Yanga 1-1 Simba
03/07/2021: Simba 0-1 Yanga
11/12/2021: Simba 0-0 Yanga
04/30/2022: Yanga 0-0 Simba
10/23/2022: Yanga 1-1 Simba
04/16/2023: Simba 2-0 Yanga
11/05/2023: Simba 1-5 Yanga
04/20/2024: Yanga 2-1 Simba
10/19/2024: Simba 0-1 Yanga

Ubabe wa Simba SC na Yanga SC katika Michuano hiyo

Tangu kuanzishwa kwa ligi hiyo, Simba SC na Yanga SC zimetwaa ubingwa kwa pamoja mara 52, huku timu nyingine zikifanikiwa kutwaa taji hilo mara kadhaa. Yanga SC imetwaa ubingwa mara 30, huku Simba SC ikitwaa mara 22/Rekodi za Simba na Yanga Ligi Kuu Tanzania Bara.

Timu Nyingine Zilizotwaa Ubingwa

Mbali na Simba SC na Yanga SC, klabu kadhaa zimetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara tangu mwaka 1965, zikiwemo:

Rekodi za Simba na Yanga Ligi Kuu Tanzania Bara
Rekodi za Simba na Yanga Ligi Kuu Tanzania Bara
  • Coastal Union (1988)

  • Tukuyu Stars (1986)

  • Pan Africans (1982)

  • Mtibwa Sugar (1999, 2000)

  • Azam FC (2013/2014)

Mifano ya Vipindi vya Utawala wa Timu Moja

Katika historia ya ligi, kumekuwa na vipindi ambapo klabu fulani ilifanikiwa kutawala na kushinda ubingwa kwa misimu mingi mfululizo:

  • Yanga SC ilitwaa ubingwa mara 5 mfululizo (1968-1972)

  • Simba SC ilifanya hivyo pia kwa misimu 5 mfululizo (1976-1980)

  • Yanga SC ilirudia kutawala kwa misimu 3 mfululizo (2014-2017)

  • Simba SC nayo ilishinda mara 4 mfululizo (2017-2021)

  • Yanga SC ilirudia kutawala kwa misimu 3 mfululizo (2021-2023)

Rekodi za Simba na Yanga Ligi Kuu Tanzania Bara Katika miaka ya karibuni, ushindani wa ubingwa umeendelea kuwa mkali kati ya Simba SC, Yanga SC na Azam FC.

CHECK ALSO: