Simba SC vs Al Masry Robo Fainali CAF kupigwa April 02 na 09, 2025

Simba SC vs Al Masry Robo Fainali CAF kupigwa April 02 na 09, 2025 | Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limethibitisha rasmi tarehe na saa za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho la CAF kwa msimu wa 2024/25.

Simba SC vs Al Masry Robo Fainali CAF kupigwa April 02 na 09, 2025

Katika michuano ya Kombe la Shirikisho, Simba SC ya Tanzania itaanza kampeni ya robo fainali dhidi ya Al Masry ya Misri, kwa mechi ya kwanza kuchezwa Aprili 2, 2025, kwenye Uwanja wa Suez, kuanzia saa 1:00 usiku. Saa za Afrika Mashariki (EAT).

Mechi ya mkondo wa pili itachezwa jijini Dar es Salaam, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Aprili 9, 2025, kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa saa za Afrika Mashariki (sawa na saa 7:00 mchana kwa saa za Tanzania).

Katika hatua hii, mshindi wa mechi kati ya Simba SC na Al Masry atakutana na mshindi wa mchezo kati ya Zamalek SC (Misri) na Stellenbosch FC (Afrika Kusini) katika nusu fainali.

Simba SC vs Al Masry Robo Fainali CAF kupigwa April 02 na 09, 2025

Mashabiki wa Wekundu wa Msimbazi Simba wanatarajiwa kujitokeza kwa wingi kwa ajili ya timu yao, na Simba SC wamepania kuhakikisha wanapata matokeo mazuri ugenini kabla ya mechi ya marudiano nyumbani.

Ratiba ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF 2024-2025

Quarter-finals, first leg

Wednesday, April 2

  • 16h00 GMT: Stellenbosch FC vs Zamalek SC
  • 19h00 GMT: Asec Mimosas vs RS Berkane
  • 19h00 GMT: CS Constantine vs USM Alger
  • 19h00 GMT: Al-Masry SC vs Simba SC

Quarter-finals, second leg

Wednesday, April 9

  • 16h00 GMT: Simba SC vs Al-Masry SC
  • 19h00 GMT: Zamalek SC vs Stellenbosch FC
  • 21h00 GMT: RS Berkane vs Asec Mimosas
  • 21h00 GMT: USM Alger vs CS Constantine

CHECK ALSO: