Spania Imetinga Fainali ya Ligi ya Mataifa Baada ya Ushindi vs Ufaransa | Timu ya taifa ya Uhispania imetinga fainali ya UEFA Nations League baada ya ushindi muhimu dhidi ya Ufaransa katika mchezo wa nusu fainali hivi majuzi.
Katika mechi hiyo ya kusisimua, Uhispania walionyesha ustadi bora wa kiufundi, wakitawala sehemu kubwa ya mechi na kumaliza matumaini ya mabingwa wa Kombe la Dunia 2018.
Spania Imetinga Fainali ya Ligi ya Mataifa Baada ya Ushindi vs Ufaransa
FULL TIME Spain 5 – 4 France
UEFA Nations League
⏱️ Spain 1-0 France (22′)
⏱️ Spain 2-0 France (25′)
⏱️ Spain 3-0 France (54′)
⏱️ Spain 4-0 France (55′)
⏱️ Spain 4-1 France (59′)
⏱️ Spain 5-1 France (67′)
⏱️ Spain 5-2 France (79′)
⏱️ Spain 5-3 France (84′)
⏱️ Spain 5-4 France (90’+3)

MAGOLI YA TIMU ZOTE MBILI
Spain
Nico Williams 22’
Mikel Merino 25’
Lamine Yamal 54’
Pedri 55’
Lamine Yamal 67’
France
K. Mbappé 59’
R. Cherki 79’
Dani Vivian 84’ (OG)
R. Kolo Muani 90+3’
CHECK ALSO:








Weka maoni yako