Tabora United vs Yanga Kuchezwa Ally Hassan Mwinyi

Tabora United vs Yanga Kuchezwa Ally Hassan Mwinyi April 01, 2025 | Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaofanyika Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi.

Mashabiki wa soka nchini Tanzania wanasubiri kwa hamu mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Tabora United dhidi ya Yanga SC, utakaofanyika Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mjini Tabora Aprili 1, 2025.

Tabora United vs Yanga Kuchezwa Ally Hassan Mwinyi

TFF yaidhinisha matumizi ya Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi: Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefungua rasmi Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi ambao awali ulikuwa umefungwa kutokana na masuala mbalimbali ya kiufundi na miundombinu. Uamuzi huu unafuatia ukaguzi wa kina wa mamlaka husika, uliothibitisha kuwa uwanja huo sasa uko tayari kwa mechi za ligi.

Tabora United vs Yanga Kuchezwa Ally Hassan Mwinyi
Tabora United vs Yanga Kuchezwa Ally Hassan Mwinyi

Timu ya Tabora United ambayo kwa sasa ipo katikati ya jedwali, itaingia uwanjani ikiwa na lengo la kupata ushindi mbele ya mashabiki wao wa nyumbani. Timu italazimika kutumia vyema nafasi hiyo ya kucheza nyumbani ili kuimarisha nafasi yake katika msimu huu wa Ligi Kuu ya NBC.

Yanga SC Yaendeleza Ubabe Katika Ligi

Yanga SC ambao ni mabingwa watetezi wa ligi hiyo, watakuwa wakihaha kutafuta pointi muhimu ili kujiweka sawa na kumaliza msimu wakiwa kileleni. Yanga SC ina rekodi nzuri ya kushinda dhidi ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu kwa mara ya kwanza, lakini itahitaji kucheza kwa umakini ili kujihakikishia pointi tatu muhimu.

Mashabiki wanatarajia mechi yenye ushindani mkubwa kutokana na kuimarika kwa kikosi cha Tabora United, lakini Yanga SC itarejea ikiwa na kikosi kamili kikijumuisha nyota wengine ambao ni Stephane Aziz Ki, Kennedy Musonda, Farid Mussa na wachezaji wengine mahiri/Tabora United vs Yanga Kuchezwa Ally Hassan Mwinyi.

Tarehe na saa ya mechi

  • Mechi: Tabora United vs. Yanga SC
  • Tarehe: Aprili 1, 2025
  • Uwanja: Ally Hassan Mwinyi, Tabora
  • Ligi kuu ya NBC

CHECK ALSO: