Taifa Stars Kukipiga na Eswatini Katika Mchezo wa COSAFA Kundi C | Jumatano hii timu ya taifa ya Tanzania inayojulikana kwa jina la Taifa Stars itamenyana na timu ya taifa ya Eswatini katika mchezo wa Kundi C wa michuano ya COSAFA 2025. Mchezo huo utaanza saa 10:00 Jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Huu ni mchezo wa pili kwa Taifa Stars katika hatua ya makundi ya michuano hiyo inayoshirikisha mataifa kadhaa ya kusini mwa Afrika. Ushindi katika mechi hii utaiweka Tanzania katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya mtoano.
Taifa Stars Kukipiga na Eswatini Katika Mchezo wa COSAFA Kundi C
Mechi hii ina umuhimu mkubwa kwa Taifa Stars, kwani matokeo yake yanaweza kuamua hatma ya timu hiyo katika michuano ya mwaka huu. Tanzania inalenga kuvuka mashindano yaliyopita na kurejesha heshima ya taifa katika ngazi ya mikoa.

Mashabiki wa soka nchini wametakiwa kuendelea kuisapoti timu yao kwa kufuatilia mechi hiyo kupitia vyombo vya habari rasmi. Sapoti ya Watanzania wote ndiyo chachu ya mafanikio ya wachezaji uwanjani.
CHECK ALSO:








Weka maoni yako