Timu Zilizofuzu Hatua ya 16 Bora CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

Timu Zilizofuzu Hatua ya 16 Bora CRDB Bank Federation Cup 2024/2025 | MICHUANO ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB kwa msimu wa 2024/2025 inaendelea kushika kasi, huku timu kadhaa zikionyesha ubora wao kwa kufuzu hatua ya 16 bora. Mashindano haya yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) yanaendelea kuibua mashabiki wengi, huku timu za madaraja tofauti zikionyesha ushindani mkali.

Timu Zilizofuzu Hatua ya 16 Bora CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

Timu zilifuzu kwa hatua ya 16 bora

Baada ya mechi ngumu za raundi ya nne, timu zifuatazo zimefanikiwa kufuzu hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB 2024/2025:

Timu Zilizofuzu Hatua ya 16 Bora CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
Timu Zilizofuzu Hatua ya 16 Bora CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

✅ Mbeya City
✅ Tabora
✅ Mashujaa
✅ Songea Utd
✅ Mbeya Kwanza
✅ Mtibwa
✅ Giraffe Academy
✅ JKT
✅ BigMan
✅ KMC
✅ Singida BS
✅ Stand Utd
✅ Simba
✅ Pamba Jiji
✅ Kagera Sugar

Timu hizi zitachuana katika hatua ya 16 bora ili kujihakikishia nafasi ya kufuzu kwa robo fainali ya michuano hiyo muhimu. Mashabiki wa kandanda wanaweza kutarajia mechi kali na ushindani mkali kadri mashindano yanavyoendelea.

Kwa taarifa zaidi kuhusu ratiba, matokeo na habari za kina kuhusu Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB 2024/2025, endelea kufuatilia taarifa zetu mpya.

CHECK ALSO: