Top Assist NBC Premier League 2024-25

Vinara wa kutoa Assist Ligi Kuu Tanzania Bara, Top Assist NBC Premier League 2024-25 | Wachezaji wanaoongoza kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania, Wachezaji wa pasi bora katika Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025.

LIGI Kuu Tanzania Bara, maarufu kwa jina la NBC Premier League, imeendelea kujizolea mashabiki wengi kutokana na ushindani mkali ambao umeshuhudiwa katika msimu huu wa 2024/2025/Top Assist NBC Premier League 2024-25.

Wakati klabu kadhaa zikiwa na juhudi za kuwania ubingwa, wachezaji nyota wamekuwa wakifanya kazi kubwa kuhakikisha wanatoa mchango mkubwa katika mafanikio ya timu zao. Moja ya njia muhimu anazowawezesha kufanya hivyo ni kwa kutoa pasi za mwisho (asisti) zinazopelekea timu zao kupata mabao ya ushindi.

Pasi za mwisho au pasi za mwisho ni zile pasi zinazopelekea goli kufungwa. Mchezaji anayetoa pasi ya bao anachukuliwa kuwa muhimu kama mfungaji, kwani pasi zake huweka msingi wa bao lililofungwa. Katika soka la kisasa, uwezo wa kutoa pasi za mabao ni talanta adimu ambayo hutofautisha wachezaji wa kawaida na wale wa kipekee. Kwa hiyo, mwisho wa msimu, mchezaji aliyeongoza idadi ya pasi za mabao atapata tuzo maalum kwa kutambua mchango wake mkubwa katika timu yake.

Top Assist NBC Premier League 2024-25
Top Assist NBC Premier League 2024-25

Top Assist NBC Premier League 2024-25

🇹🇿 Feisal Salum: 1️⃣2️⃣
🇨🇮 Pacöm Zouzoua: 8️⃣
🇹🇿 Josephat Bada: 8️⃣
🇿🇼 Prince Dube: 7️⃣
🇧🇫 Aziz KI: 7️⃣
🇨🇮 Jean Ahoua: 7️⃣
🇨🇩 Maxi Nzengeli: 7️⃣

ANGALIA PIA: