Usajili Yanga Leo, Wachezaji Wanaotakiwa na Wananchi

Usajili Yanga Leo, Wachezaji Wanaotakiwa na Wananchi | TETESI ZA USAJILI YANGA, Klabu ya Yanga SC ambayo ni moja ya klabu kongwe na yenye mafanikio makubwa katika historia ya soka la Tanzania, imeanza rasmi maandalizi ya msimu mpya wa 2025/2026 kupitia usajili wa kimkakati. Usajili huu unalenga kuimarisha kikosi kwa ajili ya mashindano ya kitaifa na kimataifa, kama vile Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho la CRDB, na michuano ya CAF.

Katika mchakato huu wa usajili, uongozi wa klabu hiyo unaendelea kuwachambua kwa makini wachezaji wenye uwezo wa kuongeza ushindani wa kikosi hicho, huku ukizingatia pia vigezo vya kiufundi vilivyowekwa na wakufunzi. Wachezaji wapya waliosajiliwa wanatarajiwa kuwa na uzoefu, nidhamu, na uwezo wa kucheza kwa kiwango cha juu katika mazingira yenye ushindani mkubwa.

Usajili Yanga Leo, Wachezaji Wanaotakiwa na Wananchi

Wachezaji waliosajiliwa na Yanga kwa Msimu wa 2025/2026:-

  1. Ecua Celestin ✅
  2. Balla Conte ✅
  3. Lassine Kouma from Stade Malien ✅
  4. Abdulnassir Mohamed Abdullah “Casemiro” – Mlandege ✅
  5. Offen Chikola 🇹🇿 – Tabora Utd ✅
  6. Frank Assink ✅
  7. Edmund John ✅
  8. Andy Boyeli ✅
  9. Mohamed Hussein ✅
  10. Mohamed Doumbia ✅
  11. Abubakar Nizar ✅

BENCHI LA UFUNDI

  1. Paul Matthews – Mkurugenzi wa Ufundi
  2. Manu Rodriguez – Kocha Msaidizi
  3. Tshephang Mokaila – Fitness Coach
  4. Romain Folz – Kocha Mkuu
Usajili Yanga Leo, Wachezaji Wanaotakiwa na Wananchi
Usajili Yanga Leo, Wachezaji Wanaotakiwa na Wananchi

Aidha, Yanga SC imejikita katika kusajili wachezaji wa kimataifa na ndani wenye vipaji vya kipekee ili kuhakikisha klabu hiyo inaendelea kupambana vikali na kulinda heshima yake katika ngazi ya kitaifa na kimataifa. Hii ni sehemu ya mkakati mpana wa kuimarisha kikosi, kuongeza ushindani wa nafasi, na kufikia malengo ya kutwaa mataji mengi msimu ujao.

Usajili huu wa msimu wa 2025/2026 unaonekana kuwa hatua muhimu kuelekea mafanikio makubwa kwa klabu hiyo, huku mashabiki na wadau wa soka wakisubiri kwa hamu kutangazwa kwa wachezaji wapya na mabadiliko yatakayofanyika ndani ya kikosi hicho.

CHECK ALSO:

  1. Singida Black Stars Wamtaka Amankona, Kuimarisha Safu ya Ushambuliaji
  2. Florent Ibenge Karibu Kujiunga na Azam kama Kocha Mkuu Mpya
  3. Hatma ya Maxi Nzengeli Yanga, Mkopo Mpya au Ofa Maniema
  4. Raundi ya 29 NBC Ligi Kuu, Mechi Zote Nane Kupigwa Saa 10:00 Jioni Juni 18