Vichapo Vikubwa Zaidi Katika Historia ya Kariakoo Derby | Mechi kati ya Simba SC na Yanga SC, maarufu kwa jina la Kariakoo Derby, imekuwa moja ya mechi kali na zenye ushindani mkubwa barani Afrika.
Kumekuwa na matokeo ya kushangaza katika historia ya derby hii, na baadhi ya mechi kumalizika kwa ushindi wa kishindo kwa moja ya timu.
Vichapo Vikubwa Zaidi Katika Historia ya Kariakoo Derby
Orodha ya Vichapo Vikubwa Katika Kariakoo Derby:

📌 1968 – Yanga 5-0 Simba
📌 1977 – Simba 6-0 Yanga
📌 1994 – Simba 4-1 Yanga
📌 2010 – Simba 4-3 Yanga
📌 2012 – Simba 5-0 Yanga
📌 2020 – Simba 4-1 Yanga
📌 2023 – Yanga 5-1 Simba
Kwa matokeo hayo, Simba SC ilipata ushindi mkubwa zaidi wa mabao 6-0 dhidi ya Yanga SC mwaka 1977 huku Yanga SC nayo ikiibomoa Simba SC kwa mabao 5-0 mwaka 1968.
Hii inaonyesha kuwa ingawa derby hii kwa kawaida huwa na ushindani mkubwa, kuna wakati timu moja imeweza kuonyesha ubabe mkubwa dhidi ya nyingine. Mashabiki wa soka bado wanasubiri kwa hamu matokeo ya mchezo ujao wa derby ili kuona iwapo itawekwa rekodi mpya katika historia ya Kariakoo derby.
ANGALIA PIA:
Weka maoni yako