Matokeo ya Yanga vs Coastal Union 12/03/2025: Yanga vs Coastal Union Kombe la Shirikisho la CRDB, Yanga SC dhidi ya Coastal Union katika hatua ya 32 bora ya Kombe la Shirikisho.
Mabingwa watetezi wa Kombe la Shirikisho, Young Africans (Yanga SC) wanakabiliwa na mtihani mgumu dhidi ya Coastal Union katika hatua ya 32 bora ya michuano hiyo mwaka huu.
Yanga SC ambao msimu uliopita walitwaa taji hili baada ya kuifunga Azam FC kwa penalti 6-5 kwenye Uwanja Mpya wa Amaan Complex visiwani Zanzibar, wanatarajia kuendeleza rekodi yao ya mafanikio katika michuano hii. Ushindi huo uliwapa ubingwa wao wa tatu mfululizo, na kuwafanya kuwa miongoni mwa timu zenye rekodi bora katika michuano hiyo.
Yanga SC na Coastal Union awali zilikutana katika fainali ya kombe la Shirikisho mwaka 2022 iliyovutia sana ambapo mchezo huo uliisha kwa sare ya 3-3 kabla ya Yanga kushinda kwa penati 4-1. Hii inaashiria kuwa mechi yao ya sasa inaweza kuwa na ushindani mkubwa.
Matokeo ya Yanga vs Coastal Union 12/03/2025

π CRDB Bank Federation Cup
β½οΈ Young Africans SCπCoastal Union
π 12.03.2025
π KMC Complex
π 10:00 Jioni
CHECK ALSO:
Weka maoni yako